Ndugu wapenzi wa ushonaji napenda kuwakaribisha katika blog hii ili mpate kujifunza mambo yanayohusu ushonaji wa urembo mbalimbali. Kwa mfano cheni za ma bibi harusi,hereni,culture za mikononi za kike na za kiume,vikapu vya kuhifhia urembo mfano cheni,bangili pia unaweza kuhifadhia miswaki.Napenda kuwakaribisha sana il mpate kujifunza.
No comments:
Post a Comment